Friday, March 26, 2010

Unapotembelea Jiji letu la Arusha, sehemu mojawapo ambayo sio rahisi kutoipitia au kusikia ikizungumziwa ni Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha(AICC). Kuwepo kwake katika jiji hili kumesaidia sana katika kila namna kulijenga jiji hili. Ni nini kitafuatia baada ya mgogoro wa Rwanda kuisha?

No comments:

Post a Comment