Friday, March 26, 2010

Inafurahisha sana kuona nyuso za furaha za Taifa letu la kesho. Lakini je, nyuso hizi watakuwa nazo katika miaka Thelathini ijayo? Mategemeo ya wengi ni kwamba watoto hawa hawatakuwa na maisha ya kuangaika kama ya wazazi wao walio wengi. Waliobebeshwa majukumu ya kuliongoza taifa hili inawabidi waache ubinafsi na kuweka ahadi kwamba Tanzania ya kesho isifanane kabisa na ya leo.  Kila kiongozi inabidi awajibike!!!!

No comments:

Post a Comment