IPAD IS HERE!!!
Leo siku ya Jumamosi, tarehe 03 Aprili ni siku ambayo kile kifaa kipya kilichokuwa kinasubiriwa kwa hamu na walio wengi kiliingia rasmi mauzoni. Jamaa kibao walipanga foleni kwa masaa mengi ili kujinunulia kifaa hicho kipya kama ambavyo inaonekanayo pichani juu. Labda wengine itabidi tusubiri kidogo mpaka kimoto kiishe...
No comments:
Post a Comment