Sunday, April 4, 2010

KILEVI CHETU ASILIA!!

Gongo chupani!!

 Jamaaa wakichangia Rubisi!!

Wakongwe wakiria mbege!!

Ni kwa miaka mingi sana nyingi ya pombe hizi asilia zimekuwa zikitumiwa na wenyeji, lakini mpaka wa leo hali zake ni kama enzi hizo. No new packaging or even fancy locations. Hivi je, kuna haja ya kuzifanyia utafiti zaidi  ili pengine kuona kama zinaweza kuhalalishwa na kukuzwa? Ukweli ni kwamba siku zote zitaendelea kuwepo haswa kwenye sehemu  za vijini ambako ndiko watu wetu wengi waishipo. Kuzidhibiti kunaweza kuondoa madhara ya baadhi ya pombe hizi.

No comments:

Post a Comment