Monday, May 10, 2010

Baadhi ya sehemu za mitaaa katika kitongoji cha Queens, New York. Siyo ajabu kabisa ukikuta katika sehemu nyingi za jiji hili watu kujibagua kutokana na Utaifa wao. Nadhani kwa miaka ya mbeleni hili linaweza kuwa tatizo kubwa sana katika nchi hii.