Monday, May 10, 2010

Madaraja

Moja kati ya madaraja yanayounganisha Queens na sehemu nyingine za jiji la New York ni hili la Triborough, kama lionekanavyo kushoto mwa picha hii. Daraja hili kwa kweli linanipa picha ya jinsi KIGAMBONI itakavyoonekana kama hilo daraja litajengwa!