Wednesday, May 12, 2010

Pichani: Mwenye Miwani Ras makunja kamanda wa Ngoma Africa band aka FFU katikati mwenye kofia nyeupe Afande Chris-B(Mshambuliaji wa solo) wa FFU na pembeni ni MR.Reginald Temu mwenyekiti wa chama cha urafiki kati ya wajerumani na watanzania akiwakaraibisha mjini Munich wageni wa hajabu !FFU wa Ngoma Africa ambao hawana uruma hata kiduchu washambuliapo jukwaani.bendi hiyo ya Ngoma Africa ilifanikiwa kuwatia kiwewe washabiki mjini munich usiku wa 8-05-katika shamra shamra za kusherekea kombe la soka la dunia Afrika Kusini 2010.  Sherehe hizo ziliudhuriwa na wengi na wageni wa heshima walikuwa manaibu mabalozi wa tanzania na Afrika Kusini nchini Ujerumani, Naibu Balozi wa Tanzania uko Ujeruamani Mhe.Bw.Ali Siwa na Naibu Balozi wa Afrika Kusini nchini humo Mr.Martin Ngudze.
Wasikilze ngoma Africa band hapa http://www.myspace.com/thengomaafrica