Wednesday, May 12, 2010

Pichani:washabiki wa mziki mjini Munich hawakupewa nafasi ya kuketi vitini! Bendi maarufu ya mziki wa dansi! Ngoma Africa band aka FFU! ilifanikiwa kuperekana puta na washabiki uko Munich usiku wa jumamosi 8-05-2010.