Thursday, June 10, 2010


Washabiki wa mziki nchini ujerumani walijipendelea kwa kudatishwa akili na mziki kutoka kwa bendi maarufu ya mziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa band" siku ya Jumamosi 5.juni.2010, ambako bendi hiyo ilitingisha jukwaa na kufanikiwa kuwatia  kiwewe washabiki katika onesho hilo, uko mjini Tübingen,Ujerumani. Ngoma Africa Band wanatamba na singo CD yao mpya "Jakaya Kikwete 2010"