Thursday, June 10, 2010


Huyu dogo mwenye umri wa miaka miwili anayeishi huko Sumatra, Indonesia huwa anaziuta sigara mfululizo na kwa sasa inadaiwa amepunguza na anavuta sigara 15 kwa siku. Kwa jina anaitwa Ardi Rizal.