Monday, June 14, 2010

Harakati za Kobe na wenzake wa timu ya Lakers ya kutaka kunyakua tena ubingwa sasa umetingwa na wasiwasi mkubwa baada ya kufungwa katika mechi ya Tano na vijana machachari wa Boston Celtic.  Hatima yao inasubiri mechi ya Sita hapo siku ya Jumanne  kule jijini LA.