Monday, June 14, 2010

Kama ilivyo kawaida kwa miaka 52 iliyopita Wapuerto Rico usheherekea siku yao(Puerto Rican Day) kila mwaka kwa maandamano na shamrashamra za kila aina, na jana tarehe 13 Juni walisheherekea tena mwaka wa 53 wa siku hiyo hapa jijini New York.