Monday, June 14, 2010

NA HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA 06/13/2010

Slovenia yamuangusha Algeria 1-0

Ghana yatupatia matumaini makubwa Waafrika kwa kumchapa Serbia 1-0

Australia masikitiko makubwa baada ya kucharazwa 4-0 na Wajerumani!