Friday, June 4, 2010Leo majira ya asubuhi nilipokuwa naranda randa karibu na Makao makuu ya Umoja wa Mataifa, na kama ilivyo kawaida nikaona ngoja nichukue picha chache za sehemu hii. Nilipenda sana jinsi kulivyoonekana tulivu na bila kuwa na ghasia za kawaida za jiji hili.