Friday, June 4, 2010

Zikiwa zimesalia siku saba kabda "JUBULANI" haujasukumwa huku na kule, na pengine kuwafurahisha ama kuwaliza wapenzi wengi wa kandanda duniani kote, tayari kuna wanaotabiri kwamba matokeo yatakuwa kama ifuatavyo:

Robo Fainali:
Nigeria, England, Netherlands, Brazil, Argentina, Serbia, Cameroon na Spain.

Nusu Fainali:
England, Brazil, Serbia na Spain.

Fainali:
England na Spain

Mshindi:
SPAIN!!!!

Je wewe utabiri wako ni vipi?