Tuesday, July 6, 2010

Baada ya ushindi kule Wimbledon Serena kama ilivyo kawaida yake anafurahia maji kwenye mojawapo ya ufukwe wa bahari.