Tuesday, July 6, 2010

Usafri wetu wa reli!!!!
Njia hii kuu ya usafiri kama ikiimarishwa itasaidia sana kukuza uchumi wa nchi yetu.  Inasikitisha sana unapoona baaadhi ya njia hizi za reli hazitumiki ipasavyo! mfano ni reli ya Tanga, sehemu ambayo tayari ina bandari lakini matumizi yake ni hafifu kabisa.