Sunday, November 7, 2010

Hivi ndivyo Liverpool ilivyomtwanga Chelsea 2-0




Ilimchukua dakika 11 kwa mshambuluaji Fernando Torres wa Liverpool kuwaliza mabingwa Chelsea na baadae kuwabandika jingine dakika chache kabla ya mapumziko, katika mchuano wa ligi ya Uingereza inayoendelea nchini humo.

No comments:

Post a Comment