Sunday, November 7, 2010

TANZANIA TUKO WAPI?
WAETHIOPIA NA WAKENYA WATAMBA NEW YORK MARATHON!






Gebre Gebremariam wa Ethiopia ashinda akifuatiwa na Emmanuel Mutai wa Kenya na kwa upande wa wakina mama Edna Kiplagat wa Kenya ndiye mshindi. Vile vile majirani zetu wachukua nafasi ya tatu na ya tano kwa wanaumme na ya pili kwa wanawake. Hii ni sababu tosha ya kwanini majirani zetu wanajulikana zaidi duniani kuliko sisi... Hivi sisi kukimbia sasa kumetushinda kabisa?

No comments:

Post a Comment