Tuesday, January 25, 2011

Katika basketball kuna mashabiki na wapenzi wa timu mbali mbali, lakini Spike Lee ametokea kuwa ni "Shabiki na Mpenzi"  wa timu ya New York Knicks kuliko mtu mwingine ye yote ninayemfahamu. Huyu jamaa kila Knicks wakicheza uwepo uwanjani tena kwenye viti vya mbele akishangilia na kuipa nguvu timu yake, akiwa amevalia kama alivyo hapo juu. Hata wasafiripo kwenda kucheza nje ya Madison Square Garden, jamaa nae yumo!! Huu  kweli ndio unaitwa "Upenzi".