Tuesday, January 25, 2011

Unaweza ukamwita "Kuli" au vyevyote vile, lakini ni mtu anayejipatia riziki yake ya kila siku kwa jasho lake na tena kwa kumenyeka haswa! Swali kubwa ni kwamba je! ni nini kinamlinda huyu ndugu na kazi yake na hasa pale mgogongo unapokuwa hauwezi tena kumpatia hicho anachokipata kwa sasa hivi? na je! anapopata ajali akiwa kwenye hiki kibarua inakuwaje? Hii ndio laana moja ya umasikini - "HAKI"

No comments:

Post a Comment