Wednesday, June 29, 2011

FFU wa Ngoma Africa band walivyovamia mji wa Heidelberg,Ujerumani
na kuwadatisha akili washabiki Jumamosi ya 25.06.2011  katika mshike mshike wa usiku usio kwisha !
FFU wa Ngoma Africa band wakiwa kibaruani katika gwaride la usiku usio kwisha !
mjini Heidelberg,Ujerumani,katika onyesho lililofanyika usiku wa jumamosi ya 25.06.2011
ambalo lilikuwa na shamra shamra na kuwadatisha akili wa shabiki,kila mshabiki alidata
kiaina yake..kutokana na midundo ya kikosi kazi hiko cha Ngoma Africa band aka FFU,
mlindimo wa mziki wa bendi hiyo una wanasa washabiki kila kona huko ughaibuni,kunaunguaga
shoka na mpini unabaki. www.ngoma-africa.com ,vichaa wetu FFU bado wanaendelea kupereka
virungu vya miziki kila kona ughaibuni...usikose kuwachungulia katika FFU Camp at www.ngoma-africa.com