LEO NILIPOKUWA NA-CRUISE JIJINI NEW YORK
Jengo la Wanaigeria Umoja wa Mataifa!
Corner ya 42nd na 8 Avenue (picha tatu za juu)
Kituo cha treni barabara ya 42nd
Kona ya 6 Avenue na barabara ya 42( picha mbili za juu)
Bustani ya Bryant karibu na Maktaba kuu
No comments:
Post a Comment