Wednesday, June 22, 2011

LEO NAIKUMBUKA SIKU YANGU YA KUZALIWA


Namshukuru Mwenyazi Mungu kwa kunijalia maisha na afya njema na kuniwezesha kufikia hapa nilipo leo na naendelea kumuomba Mola wetu anijalie mimi na familia yangu afya njema na maisha mema zaidi yenye amani na upendo.
Inshallah!!