Thursday, June 16, 2011

Lile song lililojipatia umaarufu katika kila kona "Rushwa ni Adui wa Haki" kutoka kwao Ngoma Africa Band aka FFU yenye maskani yake Ujerumani,sasa wimbo huo umetua na unasikika katika kambi ya FFU www.ngoma-africa.com .song hilo lenye ujumbe muhim kwa jamii ni utunzi wake kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja, wa FFU ughaibuni. wimbo huo wenye mistari mitatu mitamu na mingine ya uchachu lakini yote ina umuhimu wake kwa jamii...,unasikika at www.ngoma-africa.com

Pia kikosi cha Ngoma Africa band kitumbuiza jukwaani jumamosi 25.06.2011 mjini Heidelberg, na Jumapili 26.06.2011 mjini Freudenstadt,huko Ujerumani.
wasikilize FFU at
www.ngoma-africa.com

No comments:

Post a Comment