Monday, June 13, 2011

TAARIFA YA MSIBA
Ndugu,Jamaa na Marafiki,

Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwaatarifu ya kuwa mama Aurelia Kinyaiya, amefariki dunia  Jumamosi [June 11th 2011] Memorial Hospital,Minneapolis Minnesota. Marehemu ni mama mzazi wa Elifaa na David Kinyaiya waishio Minnesota, na Alekunda Mmari aishiye Washington D.C.
Maandalizi ya kusafirisha mwili wa marehemu yanaendelea nyumbani kwa Elifaa, Minneapolis -Minnesota.

Makadirio ya gharama za kusafirisha mwili pamoja na watakaosindikiza kwenda Tanzania kwa ajili ya mazishi ni $25,000.

Kama ilivyo desturi yetu, tunaombwa kuungana na familia ya Kinyaiya katika kukamilisha mipango ya kusafirisha mwili.

Unaweza kutuma mchango wako kwa njia zifuatazo;

1: WellsFargo Bank Wire transfer: Route # 530000509, Ac # 3165545314, Jina: Elifaa Kinyaiya au David Kinyaiya.

2.Western Union & MoneyGram : Zote zitumwe kwa:Neville Lema [612-964-4218].

3.Hundi (cheki) kwa: Elifaa Kinyaia :10716 Scott Avenue N,Brooklyn Park,MN 555443.

Msiba upo nyumbani kwa Elifaa & David Kinyaia :10716 Scott Avenue N,Brooklyn Park,MN 555443.

Unaweza kuwasiliana na wafiwa kwa namba zifuatazo:
Elifaa:641-583-1189 ,
David 952-215-1116,
Alekunda 202-375-3847.
Lilian Maina 612-669-2782

Kwa taarifa zaidi, wasiliana na;

Honest Tesha:651-343-3209,
Riwa 952-457-0599,
Mollel 651-334-0163,
Denis Shengena 952-992-9489,
Erick Lemunge 651-398-1861.
Flaviana Tesha 651 329 4521

Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa. Jina la Bwana Libarikiwe.

Akhsante,

Jackson Mollel kwa niaba ya familia