Tuesday, February 21, 2012

MAMBO YA CARNIVAL JIJINI RIO!




Kama inavyokuwa kila mwaka, jana kulikuwa na shamrashamra za maandamano ya furaha pale jijini Rio, Brazil na watu toka kila pande za dunia walifurika kutoa ushuuda wao.

No comments:

Post a Comment