Tuesday, February 21, 2012

 Kijana wa kabila la Kizigua akichekelea na mkewe wakati timu yake The New Jersey Net walipowaadhibu watani wao wa ngambo ya mto The New York Knicks jana jioni.



Hapa mke wa kijana wa Kizigua akiteta jambo na mke wa Camelo Anthony wa Knicks dada Lala V. pengine akimwuuliza  "dada vipi kabinti mbona hukuja nako?"

No comments:

Post a Comment