Thursday, April 19, 2012

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA KATIBU MKUU KIONGOZI OFISINI KWAKE DODOMA.

Spika wa Bunge Mh Anne Makinda Akisalimiana na katibu Mkuu Kiongozo Balozi  Ombeni Sefue Mala Baada Ya Kumaliza Mazungumzo Nae Ofisini Kwake Dodoma Leo. Balozi Sefue Alimtembelea Spika Wabunge Ofisini Kwake Mjini Dodoma Kwa Ziara Ya Kikazi.

No comments:

Post a Comment