Friday, April 20, 2012

*RAIS JAKAYA KIKWETE AMALIZA ZIARA YAKE YA KIKAZI NCHINI BRAZIL.

<><>
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na wajumbe wa chama cha wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa wa nchini Brazil alipokutana nao siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi jijini Sao Paulo jana.

<>
<>
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na viongozi wa chama cha wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa wa nchi ya Brazil alipokutana nao katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi jijini Sao Paulo, katika siku yake ya mwisho ya ziara yake ya Brazil jana. Wa pili kulia ni Makamu wa Rais wa chama hicho, Joao Guilherme Sabino Ometto na kushoto ni Mkurugenzi wa chama hicho Thomaz Zanotto na (kulia) ni Waziri wa kazi na Uwezeshaji Wanachi Kiuchumi na Ushirika wa Zanzibar Mh Haroun

No comments:

Post a Comment