Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumza na Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Jumuiya ya Afrika
Mashariki baada ya kukutana nao leo Juni 4, 2012 katika hoteli ya
Ngurdoto Mountain Lodge jijini Arusha.Wabunge hao wapo Arusha tayari kwa
kikao chao cha kwanza na wenzao wa Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi
kesho ambapo wanatarajiwa kuchagua Spika wa Bunge hilo pamoja na
kuapishwa tayari kuanza majukumu yao.
No comments:
Post a Comment