Friday, June 22, 2012

WABUNGE INCHIN ZIMBABWE WATAHIRIWA KUTOKOMEZA HONGEZEKO LA HIV

Wabunge karibu 10 inchi Zimbabwe wametahiriwa kama njia moja wapo ya kupunguza hongezeko la ukimwi, nche ya bunge la Zimbabwe kulijengwa hema mahalumu kwa shunguzi hizo za tohara kwa wabunge. Blessing candulo ambae ni mwenyekiti wawabunge wanaopambana na hongezeko la mahambukizo ya ukimwi nchini humo, amesema nia yake hasa ya yeye kuamua kupashwa tohara ni kuchochea wanaume nchini Zimbabwe kutairiwa. Bwana Chebundo amesema kuna zaidi ya wabungu 120 na wafanyakazi wa bungeni wameonesha nia yao ya kutaka kutairiwa. Shirika la afya duniani WHO linasema kupasha tohara kuna punguza hatari ya wanaume kuambukizwa virus vya ukimwi kwa %60. Zimbabwe ni moja wapo mwa mataifa 13 barani Africa mwaka 2007 shirika la WHO linasema kuna haja kubwa ya kuanzisha harakati za kutairi wanaume. Jana wabunge hao walijitokeza hadharani kupimwa ukimwi. wabunge hao wanachochea hili wanaume wote wajitokeze kufanyiwa tohara kwani takwimu ya nchi inzima inaonesha kuwa %15 wanaume inchini huko wameambukiwa virus vya ukimwi na hiyo inatokana  na wanaume inchini, Zimbabwe hawajatairiwa.

No comments:

Post a Comment