Mh Hamad Masoud Hamad |
Waziri wa miundombinu na mawasiliano wa Zanzibar Hamad Masoud Hamad.Hii ni kufuatia ajali ya boti ya MV Skagit iliyosabisha vifu vya watu karibu 70 na wengine bado hawajapatikana.
Kufuatia kujiuzulu huko nafasi yake sasa itashikiliwa Rashid Seif Suleiman ambaye pia ni mbunge wa chama cha CUF.Kabla ya kabla ya kuteuliwa kwake alikuwa mbunge wa Ziwani.
No comments:
Post a Comment