Monday, July 23, 2012

WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mpanda Kati , Said Arfi na Mbunge wa Viti Maalum, Agripina Buyogela, Kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma July 23,2012.(Picha naOfisiya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mpanda Kati Said Arfi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 23, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 23, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Habari. Vijana , Utamaduni na Michezo Dr. Fenella Mukangara kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 23, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment