Friday, July 13, 2012

HUYU MTOTO NDIO ALIPEWA OFA YA HII SHOPPING NA NICKI MINAJ BAADA YA KUONEKANA AKIIMBA NYIMBO ZAKE MULEMULE.

HUYU MTOTO NDIO ALIPEWA OFA YA HII SHOPPING NA NICKI MINAJ BAADA YA KUONEKANA AKIIMBA NYIMBO ZAKE MULEMULE.


Nauhakika wengi wetu bado hatujachek hizi video au kumuona huyu mtoto akirap kama Nicki Minaj, amemzimia Nicki toka siku nyingi… sasa long time kidogo Show ya TV ya Ellen huko Marekani iliamua kumfanyia huyu mtoto suprise na kumleta Nicki Minaj na akaperform nae kidogo, ni mtoto ambae ameshika mashairi ya nyimbo nyingi za Nicki Minaj… nisimalize ushahidi, ichek hiyo video hapo chini, ya chini yake ni shopping waliyofanyiwa na Nicki Minaj.


Nakusihi tena utazame hii video ya chini pia jinsi walivyoongea baada ya kupewa hiyo ofa ya shopping na Nicki Minaj.

No comments:

Post a Comment