Watanzania wahishio Marekani katika mji huu wa Springfield Ma kama unavyo onekana katika picha, warifutari na kusali swala ya isha pamoja. Watanzania wa mji huu wa Springfield wamejiwekea utamaduni kama huu wa kukusanyika pamoja na familia zao na kufanya mambo ya kicommunity hasa inavyo fikia kipindi kama hiki cha mfungo wa ramadhan. Pata picha na matukio ambayo ya lijili jioni hiyo huko Springfield kupitia hapa katika blog yako ya Fundi wa Kombo ambayo ilikuwa live katika sehemu hiyo ya tukio.
Akina mama wakipta futari tayari kwa kutaka kufutari kama wanavyo onekana katika picha
Chakula kilikuwa cha kutosha kwa wale wanao miss vyakula vya kitanzania hapa ndo palikuwa mahala pake.
Watoto nao walikuwepo sehemu hiyo wakiwa wamevalia vazi rasmi la kiislam
Hapa ni watoto wa Ustadh Akida wakiwapata ukodak
Wanaume wakiwa tayari kwenye line ya kujipatia chakula kwa ajili ya kufutari kama unavyo muona ustadh Akida mbele ya ukodak .
Chakula kilikuwa chakutosha watu walikula na kutosheka.
Ustadh Mafutah kutoka New York alikuwepo nae kama mgeni mwalika katika futari hiyo
Akina baba wakisali swala ya Isha kwapamoja baada ya kumaliza kufutari.
Akina mama nao awakubaki nyuma waliswali nao swala ya isha kama wanavyo onekana katika picha
Swala ya isha ikiendelea baada ya kumaliza kufutari
Ustadh Mafutah kutoka New york akitoa mawahiza baada ya swala ya Isha, kwa picha zaidi bofya (ready more) |
No comments:
Post a Comment