Monday, August 13, 2012

CHADEMA NA CCM MACHO MAKAVU

Shabani Mseba katibu wa CCM tawi la New york na Kada wa CHADEMA Libelatus Mwang'ombe wa DMV wakiteta machache wawili hao walivyo kutana  Brooklyn, N Y katika futari hiliyo andaliwa na viongozi wa jumuhia ya watanzania wa hapa New York. kada huyo wa Chadema Libe akiwa kama mgeni mwalikwa katika jioni hiyo na baada ya futari Libe na Shaban walisala swala ya Isha pamoja. (people power), ccm Oyeeee. 

wakipakuwa mankuri tayari kwa kufutari kama Libe anavyooneka kwa mbali akijiwekea chakula

No comments:

Post a Comment