Monday, August 13, 2012

TAMASHA LA FEST AFRICA YAFANA, SILVER SPRING, MD

 

 
Bendera za Nchini mbalimbali kutoka Afrika zilikuwepo
Juu na chini ni kikundi cha ISHANGI LEGACY wakifanya vitu vyao kwenye siku ya FEST AFRICA iliyofanyika Downtown Silver Spring, Maryland maonyesho haya hufanywa kila mwaka.
Mshereheshaji Diana akiongea Jambo

Mshehereshaji Clovis akisisitiza jambo
Diblo Dibala na kundi lake la Soukous International akiwa kazini

Ngouma Lokito mpiga Bass maarufu

Mpiga Drum wa kimataifa

wacheza show Jesca (kushoto) ambae ni Mtanzania anaeishi New York akishambulia jukwaa akisaidiwa na Eto,o mwenye asili ya Afrika magharibi mkazi wa New York.

 
MaDj wakijitambulisha.

No comments:

Post a Comment