Friday, August 24, 2012

MOJA KATI YA MABUS YATAKAYO TUMIKA DAR-ES-SALAAM KATIKA MPANGO WA MABUS YAENDAYO KASI KUPUNGUZA FOLENI 
Metrobus ni jina la mabus yatakayo tumika jiji Dar-Es-salaam katika mpango wa mabus yaendayo kasi kupunguza msongamano wa magari na foleni zisizo za razima katikati ya jiji. Je mabus yataendeshwa na wachina au wazawa???