Wednesday, August 22, 2012

TASWIRA YA DODOMA NYUMBA KWA BUNGE LETU NA MAKAO MAKUU YA CHAMA NA SERIKALI YA TANZANIA

Nyumbani kwa bunge la jamhuri wa muhungano wa Tanzania Dodoma yetu hiyo, kwa wale walio ughaibuni na awajafika nyumbani miaka ya hivi  karibuni ndio Dodoma yetu inavyoonekana

 
Dodoma City Centre
Dodoma city center hapo

Dodoma View
Mbele ya jengo la chuo
University of Dodoma - Admin Building
Chuo kikuu cha Tanzania Dodoma
Dodoma Church                  
   Kanisa la Anglican Cathedral maharufu sana kwa wenyeji wa Dodoma

Dodoma parliament
Ukumbi wa bunge la jamuhuri wa muhungano Tanzania ukionaekana kwa mbali
 Huu ni mnara wa sanamu  ya kumbukumbu ya baba wa Taifa uko Dodoma
 
Dodoma
Muammar Gaddafi Masjid, imeletwa kwenu na Ny Ebra,  New York