Sunday, September 2, 2012

DIAMOND PLATINUM ALIVYO WACHEZESHA WATANZANIA NA WAPENZI WA MUZIC WAKE WAISHIO DMV NA MIJI YA KARIBU NA MJI HUO


Diamond aka Platinum akiwapagawisha watanzani wapenzi wa music wake, Diamond aliimba nyimbo zake zote za zamani na mpya ambazo hata azija anza kusikilizwa  katika radio station za Tanzania hapa akiimba kwa hisia moja ya nyimbo zake ukumbini hapo.

Hapa alivyo kuwa bado na vazi lake nazifu kabla ya mzuka kupanda na kutoa nguo hizo za juu.
Diamond kwakushirikia na madancer wake walifanya show ya kuvutia sana na watu wote warifura na wange kuwa na uwezo wangetaka show hiyo kuendelea hadi asubuhi lkn wapi muda ukivyo fika watu walijivuta kwa unyoge kwani waliona kama walikatizwa uhondo wakuendelea kupata burudani kutoka kwa Diamond na madancer wake.
Diamond akiimba kwa hisia na nyuma ni madancer wake
Walionyesha miondoko ya kiusafi usafi kama Diomond mwenyewe anavyo jihita yeye ni raisi wawasafi kwakweli walikuwa kivutio ukumbini hapo.
Watu wakifatilia kwa makini kabisa show ya Diamond ukumbuni hapo kama unavyo ona

Kwapicha zaidi ya chow hiyo ya Diamond bonyeza read more