Monday, September 3, 2012

HIZI NDIO PICHA ZA TUKIO LA MWANDISHI KUUWAWA IRINGA, BANGO WALILOBEBA POLISI, NUSU SAA KABLA KIFO CHAKE


.
Mwandishi David mwenye sweta la rangi ya udongo akipiga picha nusu saa kabla ya kifo chake.
.
.
.
Mwili wa Marehemu Daudi ukiwa chini baada ya kulipukiwa na bomu.
Gari la Chadema lililovunjwa kioo wakati wa vurugu. (Picha zote zimepigwa Francis Godwin )
Marehemu Daudi