Thursday, September 27, 2012

MKUTANO WA 'THE RAND' NCHINI MAREKANI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na Mke wa Rais Mstaafu wa Marekani Mama Laura Bush wakati wa kikao cha 'The Rand African First Ladies Initiative' kilichofanyika New York nchini Marekani tarehe 26.9.2012. The Rand African First Ladies Initiative ni washirika wa maendeleo wa wake wa marais na wakuu wa nchi za Afrika wanaoshughulikia kuleta mabadiliko ya afya na elimu kwa mamilioni ya wanawake na watoto  barani humo. PICHA NA JOHN LUKUWI