Friday, September 28, 2012

POLE ADELA MWAKASEKELE KWA KUFIWA NA BABA YAKO MZAZI

Adela Mwakasekele wa NY kafiwa na baba yake mzazi uko Tanzania.

 Fundi wa Kombo inatuma salam za pole kwake kwa kufiwa na baba yake mzazi mzee Mwakasekele kifo hicho kilicho tokea september 26 uko Mbeya Tanzania, mungu ameumba mungu ametwa mapenzi yake yatukuzwe na amlaze mahala pema peponi. Misa kwa ajili ya malehem itafanyika Oct 6.  831 Euclid ave, Brooklyn 11208 Ny.
 Marafiki wakiwa nyumbani kwa Adela Brooklyn, NY kumfariji rafiki yao, dada yao mpendwa hili asijisikie mpweke na mwenye majonzi juu ya msiba huo.
 Latifa aka Fruit punch akiwa na Baia nyumbani kwa Adela
 Marafiki wakipata ukodak nyumbani kwa Adela uko Brooklyn NY
 Ny Ebra akiwa na marafiki wengine nyumbani kwa Adela kumfariji juu ya msiba huo.

Ingawa Msiba ni uzuni lakini marafiki waliweza kumchekesha mfiwa na kuweza kucheka kama unavyo ona kwenye picha Adela akicheka akiwa na kaka yake Ny Ebra katika na Baia Mahundi kushoto.