Friday, September 14, 2012

NEW YORK CITY HAPA NA PALE


Pita pita ya vijimambo harlem NY nikakutana na lori hili lenye nembo ya Rocawear, Rocawear ni nembo ya nguo zinazo milikiwa na nguli wa hip pop America Jay Z. Kilicho kuwa kinaendelea ndani ya lori hili ni biashara ya nguo hizo na vitu vingine vinavyo patikana kupitia nembo yake hiyo ya Rocawear. Watu waliingia na kujifanyia shoping ya vitu walivyo vutiwa navyo, inaonesha ni jinsi gani Jay Z anavyo jua kuitafuta pesa licha ya kuwa tajiri kwa music na kuwa partinership wa timu ya basketball ya Brooklyn Nets na pia nguo hizo zinazo julikana kwa jina la rocawear, Acha hawe tajiri kama anaweza kuwafata wateja wake kwa kutumia gari mahalum kama hili hili mradi tu kukizi kiu yao.
 Hapa ni Time Square kitovu cha New York City watu upenda sana kutembelea kwa vile ni maharufu sana kwa new year ball trop.
Hapa ni underground  subway watu wanaingia kwenye train siyo bongo tu watu wana banana kwenye daladala hapa New York City pia tunabananishwa kama bongo hila akuna kuchunguliana mifukoni.