Friday, September 7, 2012

POLISI WANYWEA MAANDAMANO YA WAISLAMU DAR

 Askari Polisi akiwaangalia Waislamu wakiswali nje ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi baada ya kufika wizarani hapo kwa maandamano ya kushinikiza kuachiwa kwa waislamu wenzao wanaoshikiriwa katika vituo vya Polisi kwa sababu ya kukataa kuhesabiwa katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi. (Picha na Habari Mseto Blog) 
Askari wakiwa katika ulinzi
Askari wakiwa katika ulinzi
 Sehemu ya umati wa waandamanaji
 Waandamanaji wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali
 Waandamanaji wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali
 Waandamanaji wa Kiislamu wakiswali
 Mmoja wa viongozi akiongoza swala nje ya Jengo la Wizara ya Mambo ya Ndani
 Mmoja wa viongozi akiongoza swala nje ya Jengo la Wizara ya Mambo ya Ndani
 Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu Tanzania, Jafari Mnete akizungumza na Waislamu juu ya makubaliano kati ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Viongozi wa Waandamaniji wa Kiislamu.
Jengo la Wizara ya Mambo ya Ndani