Thursday, October 25, 2012

BAADA YA KUTANGAZA NDOA NA LULU


Elizabeth Michael ‘Lulu’

Akipashana na Motomoto Newz juzikati, Kijitonyama, Dar, Chaz Baba alisema katika stori za magazetini kwa mwaka huu, ya kumuoa Lulu imemfikisha pabaya.
“Ilipotoka tu ile habari, wakanipigia simu kila mmoja kwa wakati wake, maswali mengi, nilijaribu kuwaweka sawa lakini hakuna aliyenisikiliza zaidi ya kunikatia simu,” alisema Chaz Baba.

Charles Gabriel ‘Chaz Bab

No comments:

Post a Comment