Monday, October 15, 2012

EAST AFRICA CHAMBER OF COMMERCE CONFERENCE

Dr. Mary Nagu akuongea katika East Africa Chamber of Commerce Conference Dallas, TX USA  Dr. Mary Nagu ni Minister of. State Prime Minister's Office Investment and Empowerment alikuwepo kuwakirisha uko Dallas, TX USA.  

 Elkanah Odembo is Ambassador of the Republic of Kenya to the United States, nae alikuwepo katika mkutano huo.
 Eng. Musa Ndeto, The Chairman of the Board of Directors, akiongea kwenye mkutano huo
 DrEnos Bukuku (EAC) Deputy Secretary General
 Picha ya pamoja siku ya mwisho ya mkutano Dallas, TX
 Mh. Dr. Mary Nagu akipata picha ya pamoja na viongozi na washiriki waliohuzulia East Africa Chamber of Commerce Conference.
 Mkutano huo ulipambwa na ngoma ya utamaduni wadada wa kutoka Burundi