Friday, October 12, 2012

EAST AFRICA CHAMBER OF COMMERCE CONFERENCE 2012

East Africa Chamber of Commerce Confrence 2012 unaoendelea hapa Dallas, Tx Vijimambo inawaletea 
live. Mkutano huu unajumuisha nje za East Africa na kila nchi imewakirisha na kiongozi wajuu katika nchi usika. Tanzania imewakirishwa na Hon Dr. Mary Nagu, Dr Mary Nagu ni Minister's Of Investment and Empowerment in the Prime Minister's Office. Kenya imewakirishwa na Ambassador Elkanah Odembo is Ambassador of the Republic of Kenya to the United States. Na Rwanda imewakirishwa na Amb. Engineer James Kimonyo Uganda imewakirishwa na Governmet of the Republic of Uganda. Kenya Commercial Bank pia wapo na imewakirishwa na Eng. Musa Ndeto, the Chairman of the Board of Director. Na pia umeuzuriwa na Dr Enos Bukuku, Dr Bukuku  alishawahi kuwa Deputy Governor (Economic & Financial Policies of  the Bank of Tanzania (BoT na sasa anatumikia wazifa huu (EAC) Deputy Secretary General.