Thursday, October 11, 2012

MARAFIKI AMBAO WALIKUWA BEGA KWA BEGA BAADA YA ADELA KUFIWA NA BABA YAKE MZAZI UKO TANZANIA Adela licha ya kuwa mwenye udhuni kwa kupoteza mama yake mzazi lkn akukosa kusmile kitokana na support aliyo pata kutolkakwa marafiki hapa akiwa na mmoja wa marafiki walikuwepo siku hiyo ya ibada ya kumuombea baba yake mzee Mwakasekele.
 Marry Ngora na Asya Mwilima wakipata ukodak siku hiyo hawa ni watu walikuwa mstari wa mbele kufariji Adela na kupanga mipango ya ibada hiyo.
 Marry Ngora akiwa pata ukodaki na Asya Mwilima
Asya Mwilima tena akiwa na Marry Ngola
 Carol, Tifa, Doree, Bahaia na Brenda walikuwepo siku ya ibada kumpa support rafikia yao Adela
  Mama Lulu na Marry Ngola wakipata ukodak siku hiyo  ya ibada
Hadiatou akipata ukodak na mtoto ambae alikuja na mama yake siku hiyo ya ibada
Mama Lulu, Marry Ngola, Asya na Aunty Fatuma ukodaki moment